8 Daudi alichukua pia shaba nyingi sana kutoka mji wa Tibhathi na mji wa Kuni; iliyokuwa miji ya Hadadezeri. Solomoni aliitumia shaba hiyo kutengenezea nguzo na vyombo vya shaba.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 18
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 18:8 katika mazingira