1 Mambo Ya Nyakati 20:1 BHN

1 Hata ikawa katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme huenda vitani, Yoabu aliliongoza jeshi na kuteka nyara nchi ya Waamoni, pia akaenda na kuuzingira Raba. Lakini Daudi alibaki huko Yerusalemu. Naye Yoabu aliushambulia Raba na kuuharibu;

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 20

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 20:1 katika mazingira