1 Mambo Ya Nyakati 20:2 BHN

2 naye Daudi akaichukua taji ya mungu wao Milkomu kichwani pake; naye aligundua ya kwamba taji hiyo ilikuwa na uzito wa kilo thelathini na tano za dhahabu na ndani yake mlikuwemo kito cha thamani. Naye Daudi akakitwaa kupambia taji yake. Pia, aliteka idadi kubwa ya nyara kutoka katika mji huo.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 20

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 20:2 katika mazingira