1 Mambo Ya Nyakati 21:22 BHN

22 Daudi akamwambia Ornani, “Nipe nafasi ya uwanja wako wa kupuria nafaka ili nimjengee Mwenyezi-Mungu madhabahu juu yake, ili kwamba tauni ipate kuzuiliwa kwa watu. Niuzie kwa bei yake kamili.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 21

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 21:22 katika mazingira