11 Sasa mwanangu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe ili ufaulu kumjengea nyumba kama alivyosema.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 22
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 22:11 katika mazingira