13 Wana wa Amramu walikuwa Aroni na Mose. Aroni aliteuliwa awe akiweka wakfu vyombo vitakatifu kabisa, pia wazawa wake daima wafukizie ubani mbele za Mwenyezi-Mungu, wakimtumikia na kuwabariki watu katika jina la Mwenyezi-Mungu milele.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:13 katika mazingira