24 Hao ndio wana wa Lawi kulingana na koo zao. Kila mmoja wao aliyetimiza umri wa miaka ishirini na zaidi, aliandikishwa kwa jina, na alishiriki katika huduma ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:24 katika mazingira