1 Mambo Ya Nyakati 23:31 BHN

31 na wakati wa siku za Sabato, mwezi mwandamo na sikukuu, hapo sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Mwenyezi-Mungu. Sheria ziliwekwa kuhusu idadi ya Walawi walioagizwa kufanya kazi hizo daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 23

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 23:31 katika mazingira