1 Mambo Ya Nyakati 26:29 BHN

29 Miongoni mwa Waishari, Kenania na wanawe walipewa kazi za utawala kama maofisa na waamuzi, kwa ajili ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 26:29 katika mazingira