1 Mambo Ya Nyakati 27:2 BHN

2 Yashobeamu mwana wa Zabdieli alikuwa kiongozi wa kikosi cha kwanza mnamo mwezi wa kwanza; kikosi chake kilikuwa na watu 24,000.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 27:2 katika mazingira