1 Mambo Ya Nyakati 27:1 BHN

1 Hii ndiyo orodha ya wakuu wa wazawa wa Israeli waliokuwa viongozi wa jamaa, na makamanda wa maelfu na mamia na maofisa wao waliomtumikia mfalme Daudi kuhusu zamu za kuingia na kutoka. Kila mwezi kila mwaka, kundi tofauti la watu 24,000 walilishika zamu ya kufanya kazi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 27

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 27:1 katika mazingira