1 Mambo Ya Nyakati 26:32 BHN

32 Mfalme Daudi alimteua Yeriya na ndugu zake 2,700, mashujaa na viongozi wa koo, kusimamia mambo yote yaliyohusu Mungu na mfalme Daudi katika sehemu za Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, zilizokuwa mashariki ya mto Yordani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 26:32 katika mazingira