1 Mambo Ya Nyakati 26:31 BHN

31 Miongoni mwa Wahebroni, Yeria alikuwa kiongozi wa koo na jamaa zote, na katika mwaka wa arubaini wa utawala wa mfalme Daudi, uchunguzi ulifanywa, na wanaume wenye uwezo mkubwa walipatikana huko Yezeri katika Gileadi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 26

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 26:31 katika mazingira