23 Mfalme Daudi hakuwahesabu wale waliokuwa chini ya umri wa miaka ishirini kwa maana Mwenyezi-Mungu aliahidi kuwaongeza Waisraeli wawe wengi kama nyota za mbinguni.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 27
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 27:23 katika mazingira