1 Mambo Ya Nyakati 28:6 BHN

6 “Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Mwanao Solomoni ndiye atakayenijengea nyumba na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye awe mwanangu, nami nitakuwa baba yake.’

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 28

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 28:6 katika mazingira