1 Mambo Ya Nyakati 29:23 BHN

23 Ndipo Solomoni akaketi katika kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu, badala ya Daudi baba yake. Naye akafanikiwa, na taifa lote la Israeli likamtii.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:23 katika mazingira