1 Mambo Ya Nyakati 29:22 BHN

22 Basi siku hiyo walikula na kunywa kwa furaha kuu mbele ya Mwenyezi-Mungu.Wakamtawaza Solomoni mwana wa Daudi, mara ya pili. Wakampaka mafuta awe mtawala kwa jina la Mwenyezi-Mungu, na Sadoki awe kuhani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:22 katika mazingira