1 Mambo Ya Nyakati 29:21 BHN

21 Wakamtolea tambiko Mwenyezi-Mungu. Siku ya pili yake wakamtolea sadaka za kuteketezwa: Mafahali 1,000, wanakondoo 1,000, pamoja na sadaka zao za vinywaji na tambiko nyingi kwa ajili ya Waisraeli wote.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 29

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 29:21 katika mazingira