32 Walifanya kazi yao ya kuimba mbele ya hema takatifu la mkutano hadi wakati mfalme Solomoni alipojenga hekalu la Mwenyezi-Mungu huko Yerusalemu. Waliutekeleza wajibu wao barabara, kwa zamu.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:32 katika mazingira