33 Zifuatazo ni koo za wale ambao walitoa huduma hizo: Ukoo wa Kohathi: Hemani, kiongozi wa kundi la kwanza la waimbaji, alikuwa mwana wa Yoeli. Ukoo wake kutokana na Israeli ni kama ifuatavyo: Hemani, mwana wa Yoeli, mwana wa Samueli,
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:33 katika mazingira