76 Katika kabila la Naftali: Kedeshi katika Galilaya pamoja na malisho yake, Hamoni pamoja na malisho yake na Kiriathaimu pamoja na malisho yake.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:76 katika mazingira