77 Jamaa za Merari zilizosalia, zilipewa miji ifuatayo pamoja na malisho yake kandokando ya miji hiyo: Katika kabila la Zebuluni walipewa Rimono pamoja na malisho yake na Tabori pamoja na malisho yake.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 6
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 6:77 katika mazingira