1 Mambo Ya Nyakati 8:39 BHN

39 Nao wana wa Esheki, nduguye Aseli, walikuwa watatu. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Ulamu, wa pili Yeushi na wa tatu Elifeleti.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 8:39 katika mazingira