1 Mambo Ya Nyakati 8:40 BHN

40 Wana wa Ulamu walikuwa watu mashujaa sana wa vita, na wapiga upinde hodari. Alikuwa na wana na wajukuu wengi, jumla150. Hao wote waliotajwa hapo juu walikuwa wa ukoo wa Benyamini.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 8

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 8:40 katika mazingira