1 Samueli 1:15 BHN

15 Lakini Hana akamjibu, “Sivyo bwana wangu; mimi ni mwanamke mwenye taabu mno; mimi sijanywa divai wala kinywaji kikali, bali nimekuwa nikimtolea Mwenyezi-Mungu yaliyomo rohoni mwangu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:15 katika mazingira