1 Samueli 1:16 BHN

16 Usinidhanie kuwa mimi ni mwanamke asiyefaa kitu. Kwa muda wote huu nimekuwa nikisema mahangaiko yangu na taabu yangu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:16 katika mazingira