1 Samueli 1:18 BHN

18 Hana akasema, “Naomba nami mtumishi wako nipate kibali mbele yako.” Hana akaenda zake, akala chakula na hakuwa na huzuni tena.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:18 katika mazingira