19 Kesho yake asubuhi, Elkana na jamaa yake waliamka asubuhi na mapema, na baada ya kumwabudu Mwenyezi-Mungu, walirudi nyumbani Rama. Elkana akalala na mkewe Hana, naye Mwenyezi-Mungu akamkumbuka.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 1
Mtazamo 1 Samueli 1:19 katika mazingira