1 Samueli 1:20 BHN

20 Hivyo Hana akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Hana akamwita mtoto huyo Samueli, kwani alisema, “Nimemwomba kwa Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:20 katika mazingira