1 Samueli 1:21 BHN

21 Elkana na jamaa yake yote wakaenda tena Shilo na kumtolea Mwenyezi-Mungu tambiko ya kila mwaka na kutimiza nadhiri.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:21 katika mazingira