1 Samueli 1:22 BHN

22 Lakini safari hii Hana hakwenda, kwani alimwambia hivi mumewe, “Mara mtoto atakapoachishwa kunyonya, nitampeleka ili awekwe mbele ya Mwenyezi-Mungu, abaki huko daima.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:22 katika mazingira