1 Samueli 1:23 BHN

23 Elkana, mumewe, akamjibu, “Fanya unaloona linafaa. Ngojea hadi utakapomwachisha mtoto kunyonya. Mwenyezi-Mungu aifanye nadhiri yako kuwa kweli.” Basi, Hana alibaki nyumbani, akaendelea kumlea mtoto wake hadi alipomwachisha kunyonya.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:23 katika mazingira