1 Samueli 1:24 BHN

24 Alipomwachisha kunyonya alimpeleka pamoja na fahali wa miaka mitatu, gunia la unga na kiriba cha divai. Hana alimwingiza mtoto kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Shilo, naye mtoto alikuwa mdogo tu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:24 katika mazingira