1 Samueli 1:2 BHN

2 Elkana alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na wa pili Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:2 katika mazingira