1 Samueli 1:3 BHN

3 Kila mwaka Elkana alisafiri kutoka Rama kwenda kuabudu na kumtambikia Mwenyezi-Mungu wa majeshi kule Shilo. Huko, watoto wawili wa kiume wa Eli, Hofni na Finehasi, walikuwa makuhani wa Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:3 katika mazingira