1 Samueli 1:6 BHN

6 Lakini Penina, mchokozi wa Hana, daima alikuwa akimkasirisha vikali na kumuudhi Hana kwa kuwa Mwenyezi-Mungu hakumjalia watoto.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:6 katika mazingira