1 Samueli 1:7 BHN

7 Mambo haya yaliendelea mwaka baada ya mwaka. Kila mara Hana alipokwenda kwenye nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Penina alimkasirisha Hana hata ikawa Hana analia na kukataa kula chochote.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:7 katika mazingira