1 Samueli 1:8 BHN

8 Elkana, mumewe, kila mara alimwuliza, “Kwa nini unalia? Kwa nini hutaki kula? Kwa nini una huzuni moyoni mwako? Je, mimi si bora kwako kuliko watoto kumi wa kiume?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:8 katika mazingira