1 Samueli 1:9 BHN

9 Siku moja, walipokuwa wamemaliza kula na kunywa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu huko Shilo, Hana akasimama. Wakati huo, kuhani Eli alikuwa amekaa kwenye kiti karibu na mwimo wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:9 katika mazingira