1 Samueli 10:12 BHN

12 Mtu fulani, mkazi wa mahali hapo, akasema, “Je, baba yao ni nani?” Hivyo kukazuka methali isemayo, “Je, hata Shauli ni mmoja wa manabii?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:12 katika mazingira