1 Samueli 10:11 BHN

11 Watu waliomfahamu Shauli hapo awali, walipomwona anatabiri, wakaulizana, “Kitu gani kimempata mwana wa Kishi? Je, hata Shauli ni mmoja wa manabii?”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:11 katika mazingira