10 Shauli na mtumishi wake walipofika huko Gibea, alilakiwa na kundi la manabii. Roho ya Mungu ilimjia kwa nguvu, na Shauli akaanza kutabiri pamoja na manabii hao.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 10
Mtazamo 1 Samueli 10:10 katika mazingira