1 Samueli 10:9 BHN

9 Shauli alipogeuka ili kumwacha Samueli, Mungu akabadili moyo wa Shauli. Yale yote aliyoambiwa na Samueli yakatokea siku hiyo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:9 katika mazingira