1 Samueli 10:8 BHN

8 Utanitangulia kwenda mjini Gilgali, mahali ambapo nitakukuta na kutoa sadaka ya kuteketezwa na tambiko za amani. Utaningojea hapo kwa muda wa siku saba mpaka nije na kukuonesha la kufanya.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:8 katika mazingira