1 Samueli 10:24 BHN

24 Samueli akawaambia watu wote, “Huyu ndiye mtu aliyeteuliwa na Mwenyezi-Mungu katika watu wote; hakuna yeyote aliye kama yeye.” Watu wote wakapiga kelele: “Aishi mfalme.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:24 katika mazingira