25 Kisha, Samueli aliwaeleza watu juu ya wajibu na haki za mfalme, akaziandika katika kitabu ambacho alikiweka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Kisha, Samueli aliwaaga watu wote, kila mtu aende nyumbani kwake.
Kusoma sura kamili 1 Samueli 10
Mtazamo 1 Samueli 10:25 katika mazingira