1 Samueli 10:27 BHN

27 Lakini watu wengine wasiofaa kitu, walisema, “Je, mtu huyu anaweza kutuokoa?” Walimdharau Shauli na hawakumpa zawadi yoyote. Lakini yeye hakukasirika.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 10

Mtazamo 1 Samueli 10:27 katika mazingira