1 Samueli 11:1 BHN

1 Kisha mfalme Nahashi wa Waamoni, alikwenda na kuuzingira mji wa Yabesh-gileadi. Wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi wakamwambia Nahashi, “Fanya mapatano nasi, nasi tutakutumikia.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:1 katika mazingira