1 Samueli 11:14 BHN

14 Samueli akawaambia, “Twendeni wote Gilgali na kwa mara nyingine tutamtangaza Shauli kuwa mfalme.”

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:14 katika mazingira