1 Samueli 11:15 BHN

15 Watu wote wakaenda Gilgali, na walipofika huko, wakamtawaza Shauli kuwa mfalme mbele ya Mwenyezi-Mungu. Wakamtolea Mwenyezi-Mungu tambiko za amani hapo. Na Shauli pamoja na watu wote wa Israeli wakafurahi sana.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 11

Mtazamo 1 Samueli 11:15 katika mazingira